Msemaji wa ikulu ya Russia (Kremlin) ametangaza kuwa Ulaya inachagiza mzozo wa UKraine kwa kuzidisha misaada ya kijeshi kwa nchi hiyo badala ya kutatua vyanzo vya mzozo huo.
Related Posts
Tajiri maarufu wa US ashangaa mataifa ya Kiarabu kushindwa kuzuia mauaji ya kimbari Ghaza
Mohamed Hadid, mfanyabiashara tajiri, ambaye ni Mmarekani mwenye asili ya Palestina amehoji na kushangaa kwa nini mataifa ya Kiarabu na…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran lazima vifutwe
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia Masuala ya Kisiasa amesema: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja…
Maelfu waandamana Washington dhidi ya Trump kabla ya kuapishwa tena kuwa rais wa Marekani
Makumi ya maelfu ya Wamarekani wameandamana katika mji mkuu Washington dhidi ya rais mteule Donald Trump anayetazamiwa kuapishwa kesho Jumatatu.…