Serikali ya Burkina Faso imelaani kuenea kwa video za upotoshaji kuhusu kujiri mauaji ya umati ya kikabila nchini humo. Serikali ya Burkina Faso imesema kuwa video hizo zilizosambaa mitandaoni ni kampeni kubwa ya vyombo vya habari ya kisiasa yenye lengo la kuchafua taswira ya nchi hiyo.
Related Posts
UN: Utawala wa Trump uache kuingilia uhuru wa mahakama
Ripoti Maalumu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali hatua za hivi majuzi za serikali ya Donald Trump ya kuwatimua na…

Afrika Kusini: Tunaendelea kushikamana na wananchi wa Palestina
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa nchi hiyo itaendelea kushikakama na kuwa pamoja na wananchi wa Palestina. Post…

Trump ataunga mkono Ukraine – Zelensky
Trump ataunga mkono Ukraine – ZelenskyRais wa zamani wa Marekani amekosoa michango ya Washington kwa Kiev na kuapa kumaliza mzozo…