Jeshi la Sudan linasema wapiganaji wake wameingia katika ikulu ya rais katikati mwa mji wa Khartoum. Katika wiki za hivi karibuni jeshi limeongeza kampeni yake dhidi ya Vikosi pinzani vya Msaada wa Haraka (RSF) katika mji mkuu, baada ya kupoteza udhibiti wa sehemu kubwa ya jiji hilo mwanzoni mwa vita mwaka 2023. Haya hapa ni baadhi ya mambo muhimu kuhusu vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Related Posts

Mkutano wa UN kuhusu hali ya hewa waanza Baku, viongozi nchi kubwa wahepa
Mkutano wa Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa (COP29) unendelea huko Baku nchini Azarbaijan, huku baadhi ya watu wenye…
Mkutano wa Hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa (COP29) unendelea huko Baku nchini Azarbaijan, huku baadhi ya watu wenye…

Rais wa Iran akosoa unafiki na undumakuwili wa Wamagharibi
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa vikali undumakuwili wa utawala haramu wa Israel na Marekani akisisitiza kuwa, Wamagharibi wakiongozwa na…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa vikali undumakuwili wa utawala haramu wa Israel na Marekani akisisitiza kuwa, Wamagharibi wakiongozwa na…

Kansela wa Ujerumani akiri kuhitilafiana Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine
Kansela wa Ujerumani amesema kuwa anahitilafiana pakubwa kimitazamo na Waziri Mkuu wa Hungary kuhusu namna ya kuushughulikia mgogoro wa Ukraine…
Kansela wa Ujerumani amesema kuwa anahitilafiana pakubwa kimitazamo na Waziri Mkuu wa Hungary kuhusu namna ya kuushughulikia mgogoro wa Ukraine…