Mchambuzi: Kurukia vita baada ya vita ni ‘muhimu’ kwa Netanyahu kubaki madarakani

Elijah Magnier, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi amesema, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu anafanya juu chini ili aweze kusalia madarakani kwa angalau miaka miwili mingine; na hiyo ndiyo sababu ya “kurukia vita baada ya vita”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *