Askari sita wa jeshi la Polisi la Kenya wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika shambulio linaloaminika kufanywa na kundi la kigaidi la Al-Shabaab la Somalia katika kambi ya polisi iliyoko kwenye kaunti ya Garissa mashariki mwa nchi hiyo, kwenye mpaka wa pamoja na Somalia.
Related Posts
Ubelgiji yalilaumu vikali Baraza la Usalama kwa kushindwa kulinda misingi ya Hati ya UN
Naibu waziri mkuu wa Ubelgiji Maxime Prevot amesema “amesikitishwa sana” kuona Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshindwa kutuma…

Silaha za Kiukreni katika Mkoa wa Kursk zafuka moshi – MOD (VIDEO)
Silaha za Kiukreni katika Mkoa wa Kursk hupanda moshi – MOD (VIDEO) Ndege zisizo na rubani aina ya Lancet na…
Hizbullah: Iran ndiye muungaji mkono mkuu wa kadhia ya Palestina
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza nafasi muhimu ya Iran katika kuunga mkono kadhia ya Palestina ya…