Jibu la Iran kwa propaganda za Marekani na utawala wa Kizayuni

Amir Saeed Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran na kusema: ‘Tuhuma hizi zisizo na msingi kwa mara nyingine tena zinabainisha siasa za uadui za serikali ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.’

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *