Katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiirani wa 1404 Hijiria Shamsia, Wizara ya Fedha ya Marekani imeiwekea Iran vikwazo vipya, ambavyo vinalenga idara kadhaa, meli na watu binafsi, huku Rais Donald Trump wa nchi hiyo, akidai kuwatakia Wairani heri ya mwaka mpya. Kwa maneno mengine ni kuwa, salamu za Nowruz za Wamarekani kwa Wairani zimewekwa viungo vya kushadidisha vikwazo na mashinikizo dhidi yao.
Related Posts
Mashirika ya kimataifa ya kiraia: Ulaya inapaswa kufunga mlango wa kufanya biashara na Israel
Mashirika ya kimataifa ya kiraia yameutaka Umoja wa Ulaya kupiga marufuku biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi…
Mashirika ya kimataifa ya kiraia yameutaka Umoja wa Ulaya kupiga marufuku biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi…
Vikosi vya Ukraine vilipoteza hadi wanajeshi 520 katika eneo la uwajibikaji la Battlegroup West
Vikosi vya Ukraine vilipoteza hadi wanajeshi 520 katika eneo la uwajibikaji la Battlegroup WestAdui pia alipoteza magari sita, howitzer iliyotengenezwa…
Vikosi vya Ukraine vilipoteza hadi wanajeshi 520 katika eneo la uwajibikaji la Battlegroup WestAdui pia alipoteza magari sita, howitzer iliyotengenezwa…
Kiev inaweza kulazimika kukubali upotezaji wa eneo – Stoltenberg
Kiev inaweza kulazimika kukubali upotezaji wa eneo – StoltenbergUkraine inaweza kuishia kutoa dhabihu ya ardhi ili kumaliza mzozo na Urusi,…
Kiev inaweza kulazimika kukubali upotezaji wa eneo – StoltenbergUkraine inaweza kuishia kutoa dhabihu ya ardhi ili kumaliza mzozo na Urusi,…