Kitendo cha jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuiripua na kuibomoa kikamilifu hospitali pekee ya matibabu ya maradhi ya saratani katika Ukanda wa Ghaza kimelaaniwa vikali kimataifa na kuelezewa kuwa ni kilelezo cha wazi cha ‘ugaidi wa kimfumo wa kiserikali’ wa utawala huo haramu.
Related Posts
Papa: Mpango wa Trump wa kuwafukuza Wapalestina ni mgogoro mkubwa kwa Marekani
Papa Francis, kiongozi wa Wakatoliki duniani, ametaja kitendo cha utawala wa Trump kuwafukuza wahamiaji kuwa ni mgogoro mkubwa kwa Marekani.…
Papa Francis, kiongozi wa Wakatoliki duniani, ametaja kitendo cha utawala wa Trump kuwafukuza wahamiaji kuwa ni mgogoro mkubwa kwa Marekani.…
Netanyahu: Mpango wa Trump wa “kuitwaa Ghaza” ni “fursa ya kihistoria” ya kudhamini mustakabali wa Israel
Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameliita pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la “kuitwaa”…
Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameliita pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la “kuitwaa”…
Vita vya Israel vyaacha mayatima 36,000 na wajane 14,000
Idadi ya watoto wa Kipalestina walioachwa yatima kutokana na vita vya siku 471 vya mauaji ya kimbari ya Israel dhidi…
Idadi ya watoto wa Kipalestina walioachwa yatima kutokana na vita vya siku 471 vya mauaji ya kimbari ya Israel dhidi…