Mtaalamu mmoja wa masuala ya kifamilia amesema kuhusu taathira za kusoma Qur’ani Tukufu kwa mtazamo wa saikolojia kuwa: Kusoma maandishi ya Aya za Qur’ani na kuyazingatia kwa kina hutuliza moyo wa msomaji na hivyo kumpa somo la kujifahamu; kwa njia ambayo humfanya apate kutambua vizuri uwezo na udhaifu wake katika mazingira tofauti.
Related Posts
Iran yakemea mauaji ya waliowachache nchini Syria, yataka yakomeshwe
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa tamko kali la kulaani mauaji ya raia nchini Syria, ikielezea machafuko hayo…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa tamko kali la kulaani mauaji ya raia nchini Syria, ikielezea machafuko hayo…
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vyaishambulia kwa mara ya pili manowari ya kubebea ndege za kivita ya US
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimeishambulia kwa mara ya pili manowari ya kubebea ndege za kivita ya Marekani ya USS…
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimeishambulia kwa mara ya pili manowari ya kubebea ndege za kivita ya Marekani ya USS…
Rais Tshisekedi aapa kuendesha vita ‘vikali’ vya kuwakomesha waasi wa M23
Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ameapa kurejesha mamlaka ya serikali mashariki mwa nchi, ambako waasi wa…
Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ameapa kurejesha mamlaka ya serikali mashariki mwa nchi, ambako waasi wa…