Yemen yaonya Marekani, Israel: ‘Kinachokuja ni kikubwa zaidi’ 

Harakati ya muqawama ya watu wa Yemen, Ansarullah, imeapa kwamba nchi hiyo itaongeza operesheni zake dhidi ya ngome za Marekani na Israel ili kujibu uchokozi wa Marekani dhidi ya ardhi ya Yemen na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina hasa mzingiro na mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *