Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Ya’alon ametoa mwito kwa waandamanaji kuendeleza maandamano yao ili kuiangusha serikali ya Benjamin Netanyahu na kuhitimisha alichokiita ‘mgogoro mkubwa zaidi katika historia ya Israel’.
Related Posts
‘Uwanja wa ndege wa Ben Gurion hautakuwa salama mpaka utakapokoma uchokozi dhidi ya Ghaza’
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen (YAF) vimetangaza kuwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Israel sasa hauko salama kwa…

Hamas yakadhibisha madai ya kuwauwa mateka wa Kizayuni
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amekadhibisha vikali madai ya uwongo ya utawala wa Kizayuni wa…

Hamas: Wananchi wa Palestina watabaki katika ardhi yao
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa wananchi wa Palestina wako imara katika ardhi yao…