Tajiri maarufu wa US ashangaa mataifa ya Kiarabu kushindwa kuzuia mauaji ya kimbari Ghaza

Mohamed Hadid, mfanyabiashara tajiri, ambaye ni Mmarekani mwenye asili ya Palestina amehoji na kushangaa kwa nini mataifa ya Kiarabu na Kiislamu hayaingilii kati kukomesha mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *