Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza katika ujumbe na salamu zake za Nouruzi kwa wananchi wa Iran kwamba, Nouruz na Usiku wa Qadar (Lailatul-Qadr) ni miale miwili ya nuru moja na madhihirisho mawili ya hakika moja, na akafafanua kwa kusema: “katika mzunguko mpya wa masiku, tutaifanya qadari yetu iwe bora na tukufu zaidi kuliko ilivyo hivi sasa”.
Related Posts

Zelensky anazituhumu Brazil na China kwa kushirikiana na Urusi
Zelensky anazituhumu Brazil na China kwa kushirikiana na UrusiNchi hizo mbili hapo awali ziliitisha mkutano wa kimataifa wa amani utakaohusisha…
Zelensky anazituhumu Brazil na China kwa kushirikiana na UrusiNchi hizo mbili hapo awali ziliitisha mkutano wa kimataifa wa amani utakaohusisha…
Kauli ya Larijani kuhusu Iran kuunda silaha za nyuklia yatikisa vyombo vya habari vya Kizayuni
Vyombo vya habari vya Kiebrania vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeakisi kwa wingi kauli aliyotoa hivi karibuni Dakta Ali…
Vyombo vya habari vya Kiebrania vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeakisi kwa wingi kauli aliyotoa hivi karibuni Dakta Ali…
Baqaei: IAEA haipaswi kutoa maoni kwa mujibu wa matashi ya kisiasa
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: “Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) haupaswi kotoa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: “Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) haupaswi kotoa…