Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Harakati ya Wananchi kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina (PFLP) zimesisitiza juu ya haja ya kuunganisha juhudi makundi ya muqawama ya Palestina na nchi za Kiarabu ili kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni na kuunga mkono mapambano ya ukombozi katika Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza na kupinga mipango ya Marekani na utawala wa Kizayuni ya kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina.
Related Posts
Makombora ya mizinga ya Kirusi ya watoto wachanga wa Kiukreni katika Mkoa wa Kursk – MOD (VIDEO)
Makombora ya mizinga ya Kirusi ya watoto wachanga wa Kiukreni katika Mkoa wa Kursk – MOD (VIDEO)Klipu iliyotolewa na Wizara…
Makombora ya mizinga ya Kirusi ya watoto wachanga wa Kiukreni katika Mkoa wa Kursk – MOD (VIDEO)Klipu iliyotolewa na Wizara…
Ayatullah Seddiqi: Uwekezaji kwa ajili ya uzalishaji utastawisha nchi
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ameeleza kuwa, uzalishaji ni mhimili wa ustawi wa maisha ya watu…
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ameeleza kuwa, uzalishaji ni mhimili wa ustawi wa maisha ya watu…
Sera ya Mashariki ya Kati ya Trump katika muhula wa pili wa urais wake itakuwaje?
Rais Donald Trump wa Marekani, amerejea ikulu baada ya miaka minne, akianza rasmi muhula wake wa pili wa urais Jumatatu,…
Rais Donald Trump wa Marekani, amerejea ikulu baada ya miaka minne, akianza rasmi muhula wake wa pili wa urais Jumatatu,…