Kwa kukiuka makubaliano ya usitishaji vita huko Ghaza yaliyoanza kutekelezwa tarehe 19 Januari, utawala wa Kizayuni umeanzisha tena vita vya umwagaji damu dhidi ya eneo hilo lililoharibiwa na vita, kwa kufanya mashambulizi makubwa ya kinyama ambayo yamesababisha mauaji ya mamia ya mashahidi wa Kipalestina na kujeruhi wengine wengi katika ukanda huo.
Related Posts
Kwa nini mataifa ya Ulaya yanaunga mkono chuki dhidi Uislamu?
Ikiwa ni katika muendelezo wa siasa za chuki dhidi ya Uislamu mwanasiasa mwenye uraia pacha wa Sweden na Denmark na…
Ikiwa ni katika muendelezo wa siasa za chuki dhidi ya Uislamu mwanasiasa mwenye uraia pacha wa Sweden na Denmark na…
Rais wa Iran awapongeza wananchi wa Gaza kwa ushindi dhidi ya Israel
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran leo Jumatatu amewapongeza wananchi wa Ukanda wa Gaza kwa ushindi wao katika kukabiliana na vita…
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran leo Jumatatu amewapongeza wananchi wa Ukanda wa Gaza kwa ushindi wao katika kukabiliana na vita…
Operesheni ya Jeshi la Somalia yaua magaidi 70 wa Al-Shabaab katika jimbo la Hirshabelle
Wizara ya Habari ya Somalia imetangaza kuwa vikosi vya jeshi vikishirikiana na vikosi vingine vya ndani vimewaua wanamgambo wapatao 70…
Wizara ya Habari ya Somalia imetangaza kuwa vikosi vya jeshi vikishirikiana na vikosi vingine vya ndani vimewaua wanamgambo wapatao 70…