Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ametangaza kushadidi mashambulio mabaya dhidi ya Gaza, akionya kwamba mashambulizi ya hivi karibuni ya anga, ambayo yaliua watoto wasiopungua 174 katika ukanda huo, ni mwanzo tu wa uchokozi mkubwa zaidi dhidi ya Wapalestina.
Related Posts
Hamas: Israel iliua mateka wake kwa kulipua vituo walikokuwa wamezuiliwa
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema leo Alkhamisi kwamba, tawi lake la kiijeshi Izuddin al Qassam na…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema leo Alkhamisi kwamba, tawi lake la kiijeshi Izuddin al Qassam na…
Jumamosi, 25 Januari, 2025
Leo ni Jumamosi 24 Rajab 1446 Hijria mwafaka na 25 Januari 2025 Post Views: 19
Leo ni Jumamosi 24 Rajab 1446 Hijria mwafaka na 25 Januari 2025 Post Views: 19
Mapigano makali katika mji mkuu wa Sudan na karibu na ikulu ya Rais
Duru za habari zimetangaza kuwa mapigano makali yamejiri kati ya jeshi la Sudan na kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF)…
Duru za habari zimetangaza kuwa mapigano makali yamejiri kati ya jeshi la Sudan na kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF)…