Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameonya kwamba kukatwa ufadhili wa Marekani kwa shirika hilo, mipango yake ya afya na mashirika mengine kunatishia uhai wa mamilioni ya watu.
Related Posts
Viongozi wa Umoja wa Afrika wakusanyika kwa mkutano muhimu Ethiopia
Mkutano wa 38 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika umeanza leo Jumamosi katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, ukiwakutanisha…
Katika kesi ya halaiki, Tunisia yawahukumu washtakiwa 40 vifungo vya hadi miaka 66 jela
Mahakama ya Tunisia imewahukumu viongozi kadhaa wa upinzani, mawakili na wafanyabiashara vifungo vya kati ya miaka 13 hadi 66 jela…
Vikosi vya Urusi vinawaangamiza wanamgambo kadhaa wa Kiukreni karibu na Slavyansk huko DPR
Vikosi vya Urusi vinawaangamiza wanamgambo kadhaa wa Kiukreni karibu na Slavyansk huko DPRInaarifiwa kuwa idadi kamili ya wapiganaji wa Kiukreni…