Msemaji wa harakati ya Hamas amesema harakati hiyo inatekeleza kikamilifu masharti ya makubaliano ya usitishaji vita na kwamba Wazayuni wameyakiuka akisisitiza kuwa, uratibu wa awali wa utawala huo ghasibu na Washington wa kuanzisha tena vita dhidi ya watu wa Gaza unaashiria ushiriki wa moja kwa moja wa Marekani katika jinai zinazofanywa Wazayuni.
Related Posts
Jeshi la Yemen laendelea kuzitwanga kwa makombora meli za kivita za Marekani
Jeshi la Yemen limetangaza kuhusika na mfululizo wa mashambulizi yaliyofanyika kwa ustadi wa hali ya juu na kuzitwanga meli za…
Jeshi la Yemen limetangaza kuhusika na mfululizo wa mashambulizi yaliyofanyika kwa ustadi wa hali ya juu na kuzitwanga meli za…
Ujumbe wa HAMAS wa Sikukuu ya Idul Fitr
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa ujumbe wa Sikukuu ya Idul Fitr kwa kuyataka mataifa ya Kiislamu…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa ujumbe wa Sikukuu ya Idul Fitr kwa kuyataka mataifa ya Kiislamu…
Mgomo wa ndege isiyo na rubani ya Urusi yaharibu gari la kivita la Ukrain – MOD (VIDEO)
SHAMBULIZI LA ndege isiyo na rubani ya Urusi LIMEHARUBU gari la kivita la Ukrain – MOD (VIDEO)Jeshi la Urusi limeonyesha…
SHAMBULIZI LA ndege isiyo na rubani ya Urusi LIMEHARUBU gari la kivita la Ukrain – MOD (VIDEO)Jeshi la Urusi limeonyesha…