Ubelgiji imejibu hatua ya Rwanda ya kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na nchi hiyo ya Ulaya na kusema kuwa, wanadiplomasia wa Rwanda wanapaswa kuondoka nchini Ubelgiji. Hatua hiyo imekuja huku uhusiano baina ya nchi hizo mbili ukizidi kuharibika kutokana na mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Related Posts

India yafanyia majaribio mfumo mpya wa kombora la kukinga mizinga
India yafanyia majaribio mfumo mpya wa kombora la kukinga mizinga (VIDEO)Waziri wa Ulinzi Rajnath Singh amepongeza jeshi na wakala wa…
India yafanyia majaribio mfumo mpya wa kombora la kukinga mizinga (VIDEO)Waziri wa Ulinzi Rajnath Singh amepongeza jeshi na wakala wa…
Iran: Tuko imara! Hakuna mtu anayeweza hata kufikiria kuanzisha vita dhidi yetu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: “Majeshi na serikali yetu tumeijengea nchi kinga ya kutosha kiasi kwamba hakuna…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: “Majeshi na serikali yetu tumeijengea nchi kinga ya kutosha kiasi kwamba hakuna…
Wall Street Journal: Trump anahaha kutaka kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran
Gazeti la Marekani la Wall Street Journal limewanukuu maafisa wa nchi hiyo na kuripoti kuwa, Washington inajaribu kutoa mashinikizo ili…
Gazeti la Marekani la Wall Street Journal limewanukuu maafisa wa nchi hiyo na kuripoti kuwa, Washington inajaribu kutoa mashinikizo ili…