Umoja wa Mataifa unaripoti kuwa mapigano ya silaha katika jimbo la Ituri, Kaskazini-Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), yamesababisha watu takriban 100,000 kufurushwa kutoka makazi yao. Mapigano kati ya kundi la waasi wa M23 na Jeshi la Serikali ya DRC (FARDC) pia ni chanzo kuongezeka idadi ya wakimbizi katika jimbo la Kivu Kusini.
Related Posts

Zelensky anatelezesha kidole kwa siri Uchina
Zelensky anatelezesha kidole kwa siri UchinaKiongozi huyo wa Ukraine anaonekana kuikosoa Beijing kuhusu vikwazo vya usafirishaji wa ndege zisizo na…
Zelensky anatelezesha kidole kwa siri UchinaKiongozi huyo wa Ukraine anaonekana kuikosoa Beijing kuhusu vikwazo vya usafirishaji wa ndege zisizo na…
IGAD yatakiwa kuishawishi Sudan Kusini kuwachilia huru wapinzani
Chama kikuu cha upinzani huko Sudan Kusini, cha Sudan People’s Liberation Movement/Army-In Opposition (SPLM/A-IO) kinachoongozwa na Makamu wa Kwanza wa…
Chama kikuu cha upinzani huko Sudan Kusini, cha Sudan People’s Liberation Movement/Army-In Opposition (SPLM/A-IO) kinachoongozwa na Makamu wa Kwanza wa…
Urusi inarudisha nyuma mashambulizi ya adui, inapiga hifadhi, Kiev inapoteza askari: hali katika eneo la Kursk
Urusi inarudisha nyuma mashambulizi ya adui, inapiga hifadhi, Kiev inapoteza askari: hali katika eneo la Kursk MOSCOW, Oktoba 8. /../.…
Urusi inarudisha nyuma mashambulizi ya adui, inapiga hifadhi, Kiev inapoteza askari: hali katika eneo la Kursk MOSCOW, Oktoba 8. /../.…