Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa X akiashiria historia ndefu ya uhusiano kati ya nchi mbili za Iran na India kwamba: Uhusiano huu umekuwa muhimu sana katika kuandaa mazingira ya kuimarishwa ushirikiano wa pande zote.
Related Posts

Lebanon inapoteza kabisa nguvu – kampuni ya nishati
Lebanon inapoteza kabisa nguvu – kampuni ya nishati “Vifaa muhimu” vyote vimepungua baada ya uhaba wa mafuta kuzima mtambo wa…

Misri, Qatar na Marekani zinazitaka Israel na Hamas kuanzisha tena mazungumzo kuhusu Gaza
Misri, Qatar na Marekani zinazitaka Israel na Hamas kuanzisha tena mazungumzo kuhusu GazaWapatanishi walifahamisha kuhusu utayarifu wao wa kuwasilisha rasimu…

Al-Shabaab yaendelea kumwaga damu za Waislamu Ramadhani
Wanachama waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wamewauwa watu wasiopungua saba katika shambulio dhidi ya hoteli…