Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Seyed Abbas Araghchi alisema Jumapili, Machi 16, katika kujibu matamshi ya kibabe na ya uingiliaji ya viongozi wa Marekani dhidi ya Iran, kwamba serikali ya Washington haina haki ya kuilazimisha Iran itekeleze siasa za kigeni zinazoendana na maslahi ya Washington.
Related Posts
Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi makamu wa rais na mkuu wa ujasusi
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewafuta kazi makamu wake wawili, James Wani Igga na Hussein Abdelbagi Akol ikiwa ni…
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewafuta kazi makamu wake wawili, James Wani Igga na Hussein Abdelbagi Akol ikiwa ni…
Rais wa Iraq: Al-Hashd al-Shaabi ni sehemu ya vikosi vya usalama nchini
Rais wa Iraq amesema kuwa makundi yenye silaha yenye mfungamano na kundi la Hash al Shaabi yanasimamiwa na serikali kuu…
Rais wa Iraq amesema kuwa makundi yenye silaha yenye mfungamano na kundi la Hash al Shaabi yanasimamiwa na serikali kuu…
Waasi wa M23 waingia Bukavu baada ya kutwaa uwanja wa ndege
Waasi wa M23 wametangaza habari ya kuingia katika jiji la Bukavu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. siku ya…
Waasi wa M23 wametangaza habari ya kuingia katika jiji la Bukavu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. siku ya…