Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Yemen kwa Muqawama wake wa kukabiliana na jinai za kinyama za utawala wa Marekani dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa hakuna shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi.
Related Posts
Leo mateka 110 wa Palestina kuachiliwa huru mkabala wa mateka watatu 3 wa Israel
Kanali ya 12 ya televisheni ya Israel imeripoti kuwa, leo Alkhamisi utawala wa Kizayuni utawaachilia huru mateka 110 wa Kipalestina…
Kanali ya 12 ya televisheni ya Israel imeripoti kuwa, leo Alkhamisi utawala wa Kizayuni utawaachilia huru mateka 110 wa Kipalestina…
Watu 108 waaga dunia kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Angola
Watu karibu 108 wamefariki dunia nchini Angola kutokana na mlipuko wa kipindupindu tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Hiyo hni kulingana…
Watu karibu 108 wamefariki dunia nchini Angola kutokana na mlipuko wa kipindupindu tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Hiyo hni kulingana…
Ansarullah: Muhammad al Dhaif alisabilia maisha yake kwa ajili ya kuikomboa Palestina
Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa mkono wa pole kufuatia tangazo la kuuliwa shahidi Muhammad al…
Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa mkono wa pole kufuatia tangazo la kuuliwa shahidi Muhammad al…