Papa aonekana kwa mara ya kwanza tangu alazwe

Papa amelazwa kwa Zaidi ya mwezi mmoja sasa akisumbuliwa pamoja na mengine ugonjwa wa homa ya mapafu