Licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kuzungumzia mara kwa mara nia yake ya kufanya mazungumzo na Iran katika miezi ya kwanza ya muhula wake wa pili wa urais na hata kutuma barua kuhusiana na suala hilo kwa Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, lakini kivitendo amekuwa akitekeleza mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran na kuchukua hatua mpya katika uwanja huo kila siku.
Related Posts
Waislamu Nigeria washerehekea ushindi wa Wapalestina
Waislamu katika Jimbo la Bauchi, Kaskazini mwa Nigeria, jana Jumapili walisherehekea ushindi wa Wapalestina na Mhimili wa Mapambano dhidi ya…
Waislamu katika Jimbo la Bauchi, Kaskazini mwa Nigeria, jana Jumapili walisherehekea ushindi wa Wapalestina na Mhimili wa Mapambano dhidi ya…
Mkuu wa CENTCOM awasili Mashariki ya Kati
Mkuu wa CENTCOM awasili Mashariki ya KatiKwa mujibu wa chombo cha habari cha Axios, Jenerali Michael E. Kurilla atazuru nchi…
Mkuu wa CENTCOM awasili Mashariki ya KatiKwa mujibu wa chombo cha habari cha Axios, Jenerali Michael E. Kurilla atazuru nchi…
Watalii kadhaa wafa maji baada ya nyambizi kuzama katika Bahari Nyekundu
Raia sita wa Russia wamepoteza maisha huku watalii 39 wa kigeni wakiokolewa wakati nyambizi ya kitalii ilipozama kwenye eneo la…
Raia sita wa Russia wamepoteza maisha huku watalii 39 wa kigeni wakiokolewa wakati nyambizi ya kitalii ilipozama kwenye eneo la…