Marekani imesema iko wazi kuchunguza ushirikiano wa raslimali muhimu ya madini na serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo(DRC) , huku Congo ikitaka usaidizi wa Marekani katika vita vyake vinavyoendelea dhidi ya waasi wanaodhibiti “10% ya eneo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo”, kulingana na Kinshasa.
Related Posts
Vita vya Sudan: Hofu na matumaini katika mji mkuu ulioharibiwa wa Khartoum
Kutekwa tena kwa mji mkuu huo kunaashiria mabadiliko katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka miwili, vilivyochochewa na…

Tetesi za soka Ulaya: United macho kwa Quenda wa Sporting
Ruben Amorim awataka Manchester United kumsajili Geovany Quenda, West Ham wamtaka Taylor Harwood-Bellis, huku Real Madrid ikigomea dau la Jarrad…

Trump aambia Bunge ‘anathamini’ ujumbe wa Zelensky kuhusu amani ya Ukraine
Rais wa Marekani alisoma barua ambayo alisema amepokea kutoka kwa mwenzake wa Ukraine, ambayo alikubali “kuja kwenye meza ya mazungumzo”.…