Tanuri na mifupa ya binadamu – BBC yatembelea eneo la ‘maangamizi’ Mexico

BBC yatembelea eneo linaloaminika kuwa lilitumiwa na magenge ya dawa za kulevya kutupa mabaki ya waathiriwa.