Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa uchumi wa Uingereza ulidorora mwanzoni mwa 2025, kinyume na utabiri, na kushuka huku kusikotarajiwa, ambako ni matokeo ya uzalishaji duni wa viwandani na kudorora kwa sekta muhimu, kumezidisha wasiwasi kuhusu mustakabali wa uchumi wa nchi hiyo na changamoto zinazoikabili serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Keir Starmer katika njia ya ukuaji wa uchumi.
Related Posts
Jumatatu tarehe 3 Machi 2025
Leo ni Jumatatu tarehe Pili Ramadhani 1446 Hijiria, sawa na tarehe 3 Machi 2025. Post Views: 13
Leo ni Jumatatu tarehe Pili Ramadhani 1446 Hijiria, sawa na tarehe 3 Machi 2025. Post Views: 13
Jeshi la Sudan lakomboa mji mpya, latangaza mafanikio dhidi ya waasi wa RSF
Jeshi la Sudan limekomboa mji mwingine kusini mwa Sudan siku ya Jumapili, ikiwa ni mafanikio mapya katika mapambano dhidi ya…
Jeshi la Sudan limekomboa mji mwingine kusini mwa Sudan siku ya Jumapili, ikiwa ni mafanikio mapya katika mapambano dhidi ya…
UN: Inahitajika zaidi ya nusu karne kuufufua uchumi wa Syria urejee kwenye hali ya kabla ya vita
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Syria inahitaji muda wa zaidi ya nusu karne ili kurejea kwenye hali yake ya uchumi…
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Syria inahitaji muda wa zaidi ya nusu karne ili kurejea kwenye hali yake ya uchumi…