Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani mwenendo unaoongezeka wa kueneza chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani na kusema kuwa, chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) ni nyenzo ya kuhalalisha uvamizi na jinai za utawala wa Kizayuni.
Related Posts
UN yawashutumu viongozi wa Sudan Kusini kwa kuchochea ghasia, machafuko
Umoja wa Mataifa umesema viongozi wa Sudan Kusini wanaendelea kuchochea ghasia na ukosefu wa amani nchini humo, huku mivutano ya…
Umoja wa Mataifa umesema viongozi wa Sudan Kusini wanaendelea kuchochea ghasia na ukosefu wa amani nchini humo, huku mivutano ya…
Mchambuzi: Kurukia vita baada ya vita ni ‘muhimu’ kwa Netanyahu kubaki madarakani
Elijah Magnier, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi amesema, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu anafanya…
Elijah Magnier, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi amesema, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu anafanya…
Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Baadhi ya mataifa ya Kiarabu na Kiislamu Jumamosi ya leo yameanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Post Views: 15
Baadhi ya mataifa ya Kiarabu na Kiislamu Jumamosi ya leo yameanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Post Views: 15