Jeshi la Sudan (SAF) limetangaza kuwa, takriban watu 10 wameuawa na wengine 23 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora yaliyofanywa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kwenye vitongoji vya makazi ya watu huko El Fasher, makao makuu ya Jimbo la Darfur Kaskazini la magharibi mwa Sudan.
Related Posts
Baqaei: Kuna haja ya kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha uvunjaji sheria wa Israel nchini Syria
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka…
Wajerumani waandamana kupinga kupeleka silaha Ukraine na Israel
Wajerumani waandamana kupinga kupeleka silaha Ukraine na Israel Maelfu ya watu wamejitokeza katika mitaa ya Berlin kupinga kukabidhiwa silaha kwa…
Wajerumani waandamana kupinga kupeleka silaha Ukraine na Israel Maelfu ya watu wamejitokeza katika mitaa ya Berlin kupinga kukabidhiwa silaha kwa…
Ansarullah: Muhammad al Dhaif alisabilia maisha yake kwa ajili ya kuikomboa Palestina
Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa mkono wa pole kufuatia tangazo la kuuliwa shahidi Muhammad al…
Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa mkono wa pole kufuatia tangazo la kuuliwa shahidi Muhammad al…