Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza katika taarifa kuwa oparesheni ya ufyatuaji risasi iliyotekelezwa jana usiku karibu na eneo la Salfit katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni jibu jipya la watu wao na wanamuqawama huru wa Palestina katika kujibu mashambulizi ya kikatili ya utawala ghasibu wa Israel khususan kaskazini mwa ukingo huo.
Related Posts
Afrika Kusini: Hatutakubali kuburuzwa na Marekani
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa, taifa hilo halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa na maajinabi. Post Views: 23
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa, taifa hilo halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa na maajinabi. Post Views: 23
Jengo la siri la jeshi la roboti la Ukraine
Vita vya hivi punde vya Ukraine: Jengo la siri la jeshi la roboti la Ukraine; Kremlin inajibu jaribio la mauaji…
Vita vya hivi punde vya Ukraine: Jengo la siri la jeshi la roboti la Ukraine; Kremlin inajibu jaribio la mauaji…
Lassa yaua watu 118 Nigeria ndani ya miezi mitatu
Homa ya Lassa imeua watu 118 nchini Nigeria katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu. Hayo yamesemwa…
Homa ya Lassa imeua watu 118 nchini Nigeria katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu. Hayo yamesemwa…