Wanawake watano walioibiwa kutoka kwa familia zao wakiwa watoto kwa kuwa machotara walishinda kesi yao ya kisheria ya kulipwa fidia dhidi ya serikali ya Ubelgiji mnamo Desemba 2024. Huu ni uamuzi wa kihistoria ambao wataalamu sasa wanasema unaweza kusababisha fidia zaidi. Mmoja wao anazungumza na mwandishi wa BBC Kaine Pieri.
Related Posts
Zelensky anamatumaini kumaliza vita vya Ukraine mwaka huu
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema “tunatumai kwamba tunaweza kumaliza vita hivi mwaka huu” katika kumbukumbu ya mwaka wa tatu…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema “tunatumai kwamba tunaweza kumaliza vita hivi mwaka huu” katika kumbukumbu ya mwaka wa tatu…

Wakili wa mgombea urais wa Msumbiji auawa kwa kupigwa risasi
Bwana Elvino Dias, wakili wa mgombea wa uchaguzi wa rais uliopita nchini Msumbiji ameuawa leo asubuhi kwa kupigwa risasi akiwa…
Bwana Elvino Dias, wakili wa mgombea wa uchaguzi wa rais uliopita nchini Msumbiji ameuawa leo asubuhi kwa kupigwa risasi akiwa…

Utafiti mpya: Idadi ya waliouawa vitani Sudan inaweza kuwa ya juu zaidi
Zaidi ya watu 61,000 wanakadiriwa kupoteza maisha katika jimbo la Khartoum katika kipindi cha miezi 14 ya kwanza ya vita…
Zaidi ya watu 61,000 wanakadiriwa kupoteza maisha katika jimbo la Khartoum katika kipindi cha miezi 14 ya kwanza ya vita…