Utafiti mpya wa hali ya hewa unaonyesha kuwa mabadiliko ya tabianchi tayari yanaathiri miji mingi mikubwa duniani, na kusababisha mabadiliko ya kushangaza kati ya hali ya hewa ya mvua na ya unyevu na ile ya ukame uliokithiri huku hali ya hewa ikizidi kuwa mbaya.
Related Posts
Sera za kinafiki za Marekani kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia
Katika taarifa yake mpya kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia, Waziri wa Nishati wa serikali ya Marekani, Chris Wright, amesema…
Mali yasitisha vibali vya uchimbaji madini kwa wageni
Waziri wa Usalama na Ulinzi wa Raia wa Mali, Daoud Aly Mohammedine ametangaza rasmi kwamba: Vibali vyote vya uchimbaji madini…
Washington Post: Google imehusika katika mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Wapalestina
Gazeti la Marekani la Washington Post limefichua ushirikiano wa kampuni ya Google na utawala wa Israel katika mauaji ya kimbari…