Umuhimu wa uwepo wa Kikosi cha Wanamaji cha Iran katika mazoezi ya pamoja ya Usalama Baharini kwa mara ya saba

Mazoezi ya pamoja ya Ukanda wa Usalama 2025 (Security Belt-2025), yanafanyika kaskazini mwa Bahari ya Hindi kwa ushiriki wa vikosi vya majini vya Iran, Russia na China.