Yemen imetangaza kuanza tena operesheni za kijeshi za kushambulia meli za Israel katika maeneo muhimu ya baharini karibu na fukwe zake kufuatia kumalizika muda wa mwisho ilioupa utawala wa Kizayuni wa kufungua tena vivuko vya Ukanda wa Ghaza na kuruhusu misaada kuwafikia Wapalestina iliowasababishia hasara kubwa kutokana na mashamblizi yake ya kikatili ya zaidi ya miezi 15.
Related Posts
Guterres aonya kuhusu uwezekano wa vita vya kikanda kutokana na mgororo wa DRC
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, leo Jumamosi amesisitiza umuhimu wa kuheshimu “mipaka” ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, leo Jumamosi amesisitiza umuhimu wa kuheshimu “mipaka” ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Kikao cha mawaziri wa AU chamalizika kwa mwito wa maendeleo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika wamemaliza Kikao chao cha 46 cha Kawaida cha Baraza la Utendaji la Umoja…
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika wamemaliza Kikao chao cha 46 cha Kawaida cha Baraza la Utendaji la Umoja…

Meli za kivita za Marekani zikilengwa katika mashambulizi ‘tata’ ya kombora na ndege zisizo na rubani
Meli za kivita za Marekani zikilengwa katika mashambulizi ‘tata’ ya kombora na ndege zisizo na rubaniWaasi wa Houthi wa Yemen…
Meli za kivita za Marekani zikilengwa katika mashambulizi ‘tata’ ya kombora na ndege zisizo na rubaniWaasi wa Houthi wa Yemen…