Vita na uasi wa M23 vyapunguza biashara kati ya Burundi na DR Congo

Shughuli mbalimbali za kibiashara zimeporomoka nchini Burundi tangu vilipoongezeka vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwezi Februari mwaka jana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *