Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa tamko kali la kulaani mauaji ya raia nchini Syria, ikielezea machafuko hayo kuwa ni umwagaji damu usiokubalika pamoja na vitendo vyovyote vya uhasama vinavyolenga makundi ya wachache katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Related Posts
Pezeshkian: Silaha za nyuklia hazina nafasi katika doktrini ya Jamhuri ya Kiislamu
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema nchi yake haitafuatilii vita wala silaha za nyuklia, kwani mafundisho ya Jamhuri ya Kiislamu…

Marekani kuipa Israel mabomu 1,800 aina ya MK-84
Washington imesema mabomu 1,800 ya MK-84 yaliyohifadhiwa Marekani yatasafirishwa na kupelekewa utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku chache zijazo.…

Vyombo vya habari vya sraeli vinasema kuwa wanajeshi wa Yemen wameanzisha shambulio la kombora la balestiki katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu.
Vyombo vya habari vya sraeli vinasema kuwa wanajeshi wa Yemen wameanzisha shambulio la kombora la balestiki katika maeneo yanayokaliwa kwa…