Wanasayansi wagundua mfumo mpya wa kinga ya mwili

Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu – utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya maambukizi.