Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur´ani, kuwa mwongozo kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atayekuwa katika mji (wake) katika mwezi huu aufunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amewangoza ili mpate kushukuru. (Baqarah:185)
Related Posts
Somalia na Umoja wa Afrika wakubaliana kuhusu wanajeshi watakaojumuishwa katika kikosi kipya
Serikali kuu ya Somalia na Umoja wa Afrika wamekubaliana kuhusu idadi ya wanajeshi kutoka nchi mbalimbali watakaohudumu katika kikosi kipya…
Serikali kuu ya Somalia na Umoja wa Afrika wamekubaliana kuhusu idadi ya wanajeshi kutoka nchi mbalimbali watakaohudumu katika kikosi kipya…

Chifu wa Hamas aliuawa kwa bomu lililotegwa katika nyumba ya wageni – NYT
Chifu wa Hamas auawa kwa bomu lililotegwa katika nyumba ya wageni – NYTKifaa cha mlipuko kiliingizwa kinyemela katika eneo la…
Chifu wa Hamas auawa kwa bomu lililotegwa katika nyumba ya wageni – NYTKifaa cha mlipuko kiliingizwa kinyemela katika eneo la…
Sarmat Atafikia Strasbourg kwa dakika 3′ – Spika wa Duma ya Kirusi Anatishia Ulaya
Sarmat Atafikia Strasbourg kwa dakika 3′ – Spika wa Duma ya Kirusi Anatishia Ulaya Vyacheslav Volodin alikuwa akiitikia mwito wa…
Sarmat Atafikia Strasbourg kwa dakika 3′ – Spika wa Duma ya Kirusi Anatishia Ulaya Vyacheslav Volodin alikuwa akiitikia mwito wa…