Rais wa Iran: Machafuko na migogoro ni hatari kwa nchi za Asia na dunia

Rais Masoud Pezeshkian amesema: “Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatambua mvutano wowote, machafuko na migogoro kuwa ni hatari kwa eneo la Asia Magharibi na dunia nzima kwa ujumla.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *