Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini yatakayohusisha vikosi vya wanamaji vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na China yamepangwa kufanyika katika eneo la kaskazini mwa bahari ya Hindi, ambapo mataifa hayo matatu yatashiriki katika operesheni kubwa za baharini zinazojumuisha vitengo mbalimbali vya vikosi vyao vya jeshi.
Related Posts
Ustawi mkubwa wa Iran katika sekta ya Akili Mnemba
Karibuni kujiunga nami katika Makala hii ambayo huangazia baadhi ya matukio muhimu nchini Iran katika uga wa Sayansi, Tiba na…

Mtaalamu: Badala ya kusimamia haki, ICC inatumikia madola yenye nguvu
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imepoteza uhalali wake kwa kutumikia maslahi ya kisiasa ya madola fulani. Hayo yameelezwa na…

Al-Shabaab yaendelea kumwaga damu za Waislamu Ramadhani
Wanachama waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wamewauwa watu wasiopungua saba katika shambulio dhidi ya hoteli…