Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imetangaza kwamba ikiwa lengo la kutaka kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ni “kuuvunja mpango wa amani wa nyuklia wa Iran,” mazungumzo kama hayo hayatafanyika katu.
Related Posts
Trump ampongeza Putin kwa “mpango mkubwa” wa kubadilishana wafungwa
Trump anampongeza Putin kwa “mpango mkubwa” wa kubadilishana wafungwaHata hivyo, kwa mujibu wa Rais wa Marekani, mpango huo ulikuwa mbaya…
NBC: Trump amtaka Zelensky ampatie umiliki wa asilimia 50 wa madini adimu ya Ukraine
Kwa mujibu wa maafisa wanne wa Marekani, utawala wa Trump umependekeza kwa Ukraine kwamba iwapo nchi hiyo itaipatia Marekani asilimia…
Balozi wa Israel nchini Ethiopia afukuzwa kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika
balozi wa Israel nchini Ethiopia, Abraham Negussie, amefukuzwa katika Ukumbi wa Mandela katika makao makuu ya Umoja wa Afrika leo…