Ripoti iliyochapishwa katika gazeti la Marekani, The New York Times, imefichua kwamba Wakristo wa Kiinjilisti, ambao walitoa huduma kubwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, wakati wa uchaguzi uliopita, ambapo karibu asilimia 80 walimpigia kura, sasa wanasubiri alipe fadhila na kuiruhusu Israel kutwaa Ukingo wa Magharibi, kwa madai ya ahadi ambayo eti Mungu aliwaahidi Wayahudi katika Biblia.
Related Posts
Uongozi wa Imam Khomeini (RA) na athari zake katika kufanikiwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Karibuni wapendwa wasikilizaji wa Radio Tehran katika mfululizo wa vipindi vyetu vya Alfajiri Kumi na hiki ni kipindi chetu cha…
Karibuni wapendwa wasikilizaji wa Radio Tehran katika mfululizo wa vipindi vyetu vya Alfajiri Kumi na hiki ni kipindi chetu cha…
China yajibu mapigo dhidi ya ushuru mpya wa Trump
China imetangaza kujibu mapigo ya ushuru uliotangazwa dhidi ya nchi hiyo na Rais Donald Trump wa Marekani. Post Views: 15
China imetangaza kujibu mapigo ya ushuru uliotangazwa dhidi ya nchi hiyo na Rais Donald Trump wa Marekani. Post Views: 15
Ziyad al-Nakhala: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni egemeo la makundi ya muqawama
Ziyad Al-Nakhala, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni egemeo…
Ziyad Al-Nakhala, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni egemeo…