Kufuatia kuendelea hujuma za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu imetoa indhari kupitia taarifa yake kwamba uvamizi na hujuma za jeshi hilo katika eneo la kaskazini la Ukingo wa Magharibi zina madhara na maafa makubwa ya kibinadamu.
Related Posts
Google kutumia majasusi wa Israel waliohusika na mauaji ya kimbari ya Gaza
Kampuni ya Google mapema wiki hii ililipa dola bilioni 32 ili kununua kampuni ya Israel ya usalama wa mtandao, Wiz,…

Vikosi vya Ukraine vimepungua – NYT
Vikosi vya Ukraine vimepungua – NYTMaafisa wa Marekani wanaamini kwa faragha kuwa haitawezekana kwa Kiev kushinda tena maeneo yake yaliyopotea,…
Wanaharakati Iran watangaza kuwa tayari kupambana na Marekani
Wanaharakati zaidi ya 300 wa jumuiya za kiraia nchini Iran wamepinga vikali vitisho vya Marekani vya mashambulizi ya kijeshi dhidi…