Kufanyika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiislamu huko Jeddah mara baada ya mkutano wa dharura wa mawaziri wa Mambo ya Nje na Wakuu wa Nchi za Kiarabu huko Cairo, Misri kunaonyesha ushirikiano wa pamoja wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabiliana na mpango wa kuwafukuza kwa nguvu wakazi wa Ukanda wa Gaza na wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Related Posts
Balozi: Mkutano wa Baraza la Usalama la UN Kuhusu Iran ni ‘Mbinu Mbaya ya Kisiasa’
Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani mkutano wa Baraza la Usalama kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, akiuita…
Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani mkutano wa Baraza la Usalama kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, akiuita…

Urusi kuimarisha uhusiano wa kiulinzi na taifa la Afrika lenye matatizo – mjumbe wa Urusi
Moscow kuimarisha uhusiano wa kiulinzi na taifa la Afrika lenye matatizo – mjumbe wa UrusiAlexander Bikantov alikuwa akizungumza baada ya…
Moscow kuimarisha uhusiano wa kiulinzi na taifa la Afrika lenye matatizo – mjumbe wa UrusiAlexander Bikantov alikuwa akizungumza baada ya…
Israel inawatesa mateka wa Palestina hadi dakika ya mwisho kabla ya kuachiliwa huru
Mara tu basi la kwanza lililobeba Wapalestina walioachiliwa huru lilipowasili Ramallah, Wapalestina sita walioachiliwa huru wamepelekwa haraka hospitalini kutokana na…
Mara tu basi la kwanza lililobeba Wapalestina walioachiliwa huru lilipowasili Ramallah, Wapalestina sita walioachiliwa huru wamepelekwa haraka hospitalini kutokana na…