Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Miradi ya nyuklia ya Iran inayofanyika kwa malengo ya amani haiwezi kuangamizwa kwa shambulio la kijeshi. Araqchi ameeleza haya akijibu uropokaji na uwongo wa Wamagharibi dhidi ya miradi ya nyuklia ya nchi hii.
Related Posts

Mahojiano ya Trump na Musk yakumbwa na changamoto za kiufundi
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…

Hamas: Takriban watoto 19,000 wameuawa shahidi huko Ghaza
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa, takriban watoto 19,000 wameshauawa shahidi huko Ghaza na takriban watoto…

Jumapili, 09 Februari, 2025
Leo ni Jumapili tarehe 10 Shaaban 1446 Hijria mwafaka na 9 Februari 2025 Post Views: 17