Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza tena msimamo wa Tehran wa kupinga eti ‘suluhisho la mataifa mawili’ kuwa njia ya kupata haki za Wapalestina na kusisitiza kwamba, uungaji mkono usioyumba wa Iran kwa kadhia ya Palestina bado upo thabiti.
Related Posts
Kamanda Pourdastan: Iran itaimarisha uwezo wake wa kiulinzi sambamba na vitisho
Kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la Iran amesema kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hii vimejitolea kukuza uwezo…
Kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la Iran amesema kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hii vimejitolea kukuza uwezo…
Ethiopia kuongeza uwezo wa kuzalisha umeme maradufu ifikapo 2028
Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa ina mipango kabambe ya kuongeza uwezo wake wa kuzalisha nishati ya umeme hadi megawati 13,000…
Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa ina mipango kabambe ya kuongeza uwezo wake wa kuzalisha nishati ya umeme hadi megawati 13,000…
Misri yatayarisha mpango mbadala wa kukabiliana na wa Trump huko Gaza
Vyanzo vya habari vya Misri vimeripoti kuwa Cairo imetupilia mbali mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu eneo la…
Vyanzo vya habari vya Misri vimeripoti kuwa Cairo imetupilia mbali mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu eneo la…