Kambi mbili kati ya tano za jeshi la mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa nchini Senegal zilikabidhiwa rasmi kwa serikali ya nchi hiyo jana Ijumaa. Hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea kutimuliwa kikamilifu wanajeshi wa Ufaransa nchini humo.
Related Posts
Makumi wauawa na kujeruhiwa baada ya askari wa Israel kuwafyatulia risasi raia kusini mwa Lebanon
Vikosi vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel vimewafyatulia risasi raia wa Lebanon wanaorejea makwao katika miji ya kusini…

Sakata la uuzaji wa Msikiti mkongwe zaidi Kenya
Msikiti wa kihistoria wa Kongo, ulioko Diani, Kaunti ya Kwale, umekuwa katika mzozo baada ya mwekezaji binafsi kudai umiliki wa…

Urusi kusukuma askari wa Kiukreni nje ya Mkoa wa Kursk, bila shaka itafanikiwa – Lavrov
Urusi kusukuma askari wa Kiukreni nje ya Mkoa wa Kursk, bila shaka itafanikiwa – LavrovWaziri wa mambo ya nje alidokeza…