Waziri wa Misitu, Uvuvi na Mazingira wa Afrika Kusini, Dion George, ametoa taarifa rasmi na kusema kuwa vifaru 420 waliuliwa kinyume cha sheria kwa ajili ya pembe zao nchini Afrika Kusini mwaka 2024, ingawa idadi hiyo iko chini ya ile ya mwaka juzi, 2023, ambapo vizuri 499 waliuliwa na majangili kwa ajili ya vipusa.
Related Posts

Urusi inaripoti hasara kubwa ya Kiukreni katika Mkoa wa Kursk
Urusi inaripoti hasara kubwa ya Kiukreni katika Mkoa wa KurskKiev imepoteza maelfu ya wanajeshi na vifaa vya kijeshi wakati wa…
Urusi inaripoti hasara kubwa ya Kiukreni katika Mkoa wa KurskKiev imepoteza maelfu ya wanajeshi na vifaa vya kijeshi wakati wa…
Ubelgiji nayo yatia ulimi puani, yasema: Hatutamkamata Netanyahu
Ubelgiji nayo pia imetangaza kuwa haitotii amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutaka waziri mkuu wa utawala…
Ubelgiji nayo pia imetangaza kuwa haitotii amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutaka waziri mkuu wa utawala…
UNICEF: Watoto zaidi ya milioni moja Ghaza wamekosa misaada kwa zaidi ya mwezi mmoja
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema, watoto wa Ukanda Ghaza wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa misaada…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema, watoto wa Ukanda Ghaza wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa misaada…