Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya Umoja wa Mataifa (ICJ) imetangaza kuwa imepokea mashtaka yaliyowasilishwa na Sudan dhidi ya Muungano wa Falme za Kiarabu UAE, au Imarati ambapo Khartoum inaituhumu Abu Dhabi kuwa imekiuka Mkataba wa Mauaji ya Kimbari kwa kuwapa silaha na kuwafadhili kifedha wanamgambo wa “Vikosi vya Usaidizi wa Haraka” (RSF) katika katika vita vya ndani vya Sudan.
Related Posts

Ukraine inayoendesha ‘kambi za mkusanyiko’ – Moscow
Ukraine inayoendesha ‘kambi za mkusanyiko’ – MoscowKiev inasafirisha raia wa Urusi kutoka Mkoa wa Kursk kwa mtutu wa bunduki, msemaji…
Ahmad Nouruzi aipongeza taasisi ya HRF kwa kuwaandama kisheria viongozi wa Israel
Mkuu wa Kitengo cha Matangazo ya Ng’ambo cha Shirika la Sauti na Televisheni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB)…
Iran yakemea mauaji ya waliowachache nchini Syria, yataka yakomeshwe
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa tamko kali la kulaani mauaji ya raia nchini Syria, ikielezea machafuko hayo…